energy.gov.au

energy-theme-default

[Swahili/Kiswahili] Ikiwa una shida ya kulipa bili zako za umeme na gesi

if you are having trouble paying your electricity and gas bills

Publisher

Australian Government

Date

• Ongea na muuzaji wako. Nambari yao iko kwenye bili yako

• Uliza juu ya msaada wa ugumu ikiwa huwezi kulipa bili yako kwa wakati wake

• Omba kuanzisha mpango wa malipo, kulipa kwa muda mrefu zaidi au malipo

ndogo ya kila mara

• Endelea kwenye mpango wa kujikinga kutokana na kukatwa, malipo ya riba

na ada ya kuchelewa

• Uliza ikiwa kuna makubaliano au punguzo ya serikali ili kukusaidia nyumbani

au kazini.

Kwa habari zaidi juu ya kunusuru umeme na pesa nyumbani tazama

https://www.energy.gov.au/households/translations

Documents